WANAKIJIJI CHA JONDENI NA EID EL MUBARAK
Hawa ni wanakijii wa cha Jondeni wakiwa na shauku na hamasa kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid el Hajj.
Wanakijiji hao wakiwa na furaha wamekusanyika katika maeneo ya ofisi ya Polisi Jamii Jondeni ikijuilikana kwa jina la umaarufu PJJ iliyopo maeneo ya Jondeni Mkaoni Pemba; wamekusanyika kwa lengo la kupeana Mkono wa Eid. (24/09/2015)
0 comments:
Post a Comment